Posted on: November 12th, 2022
Leo tarehe 12/11/2022 Halmashauri ya Mji Handeni imeanza rasmi kuuza mahindi ya bei nafuu kwa wakulima wa Halmashauri ya Mji Handeni katika ghala la ndugu Hafidhi linalopatikana maeneo ya njiapanda ya...
Posted on: November 3rd, 2022
Leo Alhamisi, tarehe 3 Novemba 2022 Mkuu wa mkoa wa Tanga Mh.Omari Tebweta Mgumba amehitimisha ziara ya siku mbili katika Halmashauri ya Mji Handeni aliyoianza tarehe 2 Novemba 2022 siku ya Jumatano. ...
Posted on: October 31st, 2022
Mkuu wa wilaya ya Handeni Bi.Siriel Mchembe ameongoza zoezi la ugawaji wa pembejeo na viuatilifu vya kilimo cha zao la korosho katika kata ya Vibaoni Mtaa wa Vibaoni Kati Halmashauri ya mji Handeni kw...